Mto Gaahi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mto Gaahi unapatikana katika kaunti ya Murang'a, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads