Mto Kaikor

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mto Kaikor ni jina la makorongo mawili yanayopatikana katika kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads