Mto Laga Balal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Laga Balal ni korongo linalopatikana kaskazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Ethiopia.
Maji yake yanaishia katika mto Jubba na hatimaye katika Bahari ya Hindi.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads