Mto Muthungue
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Muthungue unapatikana katika kaunti ya Machakos, kusini mwa Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika Bahari ya Hindi.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads