Mto Nalibamun
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Nalibamun unapatikana katika kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).
Maji yake yanaishia katika ziwa la magadi linaloitwa Turkana na lililo kubwa kuliko maziwa yote ya Kenya. Ni pia ziwa la jangwani lililo kubwa kuliko yote duniani.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads