Mto Nankere
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Nankere unapatikana katika kaunti ya Meru, katikati ya Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads