Mto Nyawarongo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Nyawarongo (pia: Nyabarongo, Nyawarungu)[1] ni mto uliopo nchini Burundi, Rwanda na Tanzania unaounganika na mto Ruvuvu kuendelea kutiririsha maji yake kwa kilomita 400 kuingia katika ziwa Viktoria.

Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads