Mto Olormotioo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Olormotioo ni jina la mitatu kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Narok, magharibi mwa Kenya.
Maji ya miwili kati yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads