Mto Ruiru (Nyeri)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Ruiru (Nyeri) unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads