Mto Yala

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mto Yala
Remove ads

Mto Yala unapatikana magharibi mwa Kenya na unaishia katika ziwa Viktoria, ukichangia hivyo mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

Thumb
Mto Yala ndani wa Kakamega Rain Forest , magharibi mwa Kenya

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads