Mvulana

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mvulana
Remove ads

Mvulana ni mwanaume bado mdogo au kijana wa kiume. Wavulana wadogo bado wana mwili wa kitoto. Hawawezi kukomaa hadi wanapofikia umri wa balehe (huenda ikawa kunako umri wa miaka 12 hadi 14) hapo ndipo miili yao inaanza kukomaa na kuwa mwanamume.

Thumb
Kijana wa Kiaafghanistan akiuza mazulia
Thumb
Kijana wa Kiafrika akiwa juu ya jiwe

Kinyume chake cha mvulana ni msichana. Msichana ni mtoto wa kike ambaye atakua na kufikia uwanamke.

Jinsi wavulana wanavyokuzwa kwa namna nyingi na tamaduni tofautitofauti. Wavulana wanatakiwa wawe thabiti kuliko wasichana.

Remove ads

Tazama pia


Marejeo mengine

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads