Mwaridi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mwaridi
Remove ads

Mwaridi ni mti, kichaka au mtambaa wenye miiba na maua yanukiayo vizuri. Kwa asili jina hili limetumika kwa Rosa x damascena, lakini siku hizi hutumika kwa spishi zote za jenasi Rosa. Jenasi hii ni jenasi-mfano ya familia Rosaceae. Maua huitwa mawaridi au halwaridi.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Remove ads

Spishi zilizotapakaa

Remove ads

Picha

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwaridi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads