Muuguzi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Muuguzi
Remove ads

Muuguzi ni mtaalamu wa afya aliyeandaliwa kupitia mfumo maalumu na thabiti wa kitaaluma, kisha kuthibitishwa na kuidhinishwa (na mamlaka iliyopo kisheria / chombo kinachosimamia taaluma hii) kutoa huduma za afya.

Thumb
Florence Nightingale alikuwa mwanamke aliyechangia sana unesi wa kisasa.[1]

Muuguzi anaweza kuwa wa jinsia yoyote. Sambamba na hospitalini, muuguzi anaweza kufanya kazi maeneo tofautitofauti: nyumbani, kwenye jamii, kwenye kampuni na mashirika mbalimbali, shuleni na vyuoni.

Kazi nyingi na muhimu hutekelezwa kwa weledi mkubwa na wauguzi.

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads