Nevşehir

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nevşehir
Remove ads

Nevşehir (zamani waliuita Muşkara au Nyssa) ni mji mkuu wa Jimbo la Nevşehir nchini Uturuki. Mji huu upo katika Mkoa wa Anatolia ya Kati katika Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi takriban 105,078 ambao wengine 67,864 wanaishi katikati ya mji wa Nevşehir.[1][2] Mji unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 535,[3] na mji uko m 1224 juu ya usawa wa bahari.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Nevşehir
Remove ads

Maelezo

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads