New Brunswick
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
New Brunswick (Brunswick Mpya) ni jimbo la Kanada upande wa Bahari Atlantiki. Ni moja kati ya majimbo ya bahari (Kiingereza: Maritime provinces) matatu ya Kanada. Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1867.
Lina eneo la 72,908 km².
Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 748,319. Imepakana na Quebec na Nova Scotia.
Kuna lugha rasmi 2: Kiingereza na Kifaransa (32%).
Fredericton ni mji mkuu na Saint John ni mji mkubwa.
Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya Mfalme George III wa Braunschweig (Kiingereza na Kifaransa: Brunswick) katika Ujerumani.
Remove ads
Miji Mikubwa
- Saint John (68,043)
- Moncton (64,128)
- Fredericton (50,535)
- Edmundston (16.643)
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu New Brunswick kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads