Nguvu (kipaji)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nguvu kama kipaji cha Roho Mtakatifu ni utayari wa Mkristo kupewa na Roho Mtakatifu nguvu katika kupambana na magumu ya dunia hii au kuvumilia mkinzano wa imani.
Nguvu inamtia moyo wa kushika sana amri za Mungu na mambo ya utumishi wake asiogope watu wala matukano wala mateso wala kifo. Nguvu humsaidia kuwa na ari zaidi katika kutenda mema na kuutafuta uso wa Mungu bila kuchoka.
![]() |
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nguvu (kipaji) kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads