Nightjet
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nightjet, fupi: NJ ni treni za masafa marefu ya reli ya jamuhuri ya Austria (ÖBB).
Kuhusu


Nightjet ni treni za masafa marefu ya kimataifa. Kuna base mbili ya Nightjet, Kituo kikuu cha reli Vienna (Kijerumani: Wien Hauptbahnhof, Wien Hauptbahnhof na Innsbruck Hauptbahnhof. Nightjet ni jamii ya treni kwenye ratiba za ÖBB pia.
Huduma

Kuna miji mikubwa mingi na miji dogo chache zina huduma za treni za Nightjet kwenye nchi za Austria, Hungaria, Italia, Ufaransa, Ucheki, Ujerumani, Ubelgiji na Uholanzi.
Jamii ya usafiri




Ndani za treni kuna jamii cha usafiri tatu:
- Kabini ya viti
- Kabini ya kusheti
- Kabini ya vitanda
Kabini ya viti na ya vitanda inafunikwa na tiketi ya daraja ya pili, kabini ya vitanda kuna daraja ya pili na ya kwanza pia. Kabini ya viti zina viti sita, kabini ya kusheti kuna na kusheti nne au sita. Kabini cha vitanda kuna na vitanda moja, mbili au tatu. Kwenye kabini cha vitanda kuna sinki pia ya daraja ya pili, kabini ya kwanza kuna choo na bafu ndani za kabini pia. Daraja ya pili ya kabini ya vitanda kuna bafu kwenye koridori pia. Kwenye kabini ya vitanda na ya kusheti pia chakula cha asubuhi / chai ni bure.
Baiskeli na pikipiki / gari


Kila treni ina sehemu ya kubeba baiskeli.
Kuna treni chache pia zina karti ya kubeba vehikeli ya motori (Kujerumani: Autotransportwagen) kwa kubeba magari na pikipiki.
Kuna terminali ya karti ya magari na pikipiki pia, kwa mfano kituoni kikuu cha Vienna.
Viungo vya nje
- Tovuti ya Nightjet (Kijerumani)
- Tovuti ya Austrian Federal Railways (Kijerumani)
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads