Nintendo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nintendo
Remove ads

Nintendo (kwa Kijapani: 任天堂) ni kampuni inayotengeneza michezo ya video na vitu vya kujifariji au kujiliwaza.

Thumb
Nintendo
Nembo ya Nintendo
Nembo ya Nintendo

Mara ya kwanza, ilianza kwa kuunda kadi za kuchezea na vichezeo. Ofisi kuu ni Kyoto, Japan. Pia wana ofisi katika mabara mengine.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nintendo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads