Njegere
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Njegere ni mbegu za spishi za mimea katika jamii kunde ambayo hukuzwa sehemu mbalimbali za dunia. Spishi kadhaa za njegere ni:
- njegere kubwa (chickpea)
- njegere ya kizungu (common pea)
- njegere sukari (snow pea and snap pea)
Picha
- Njegere kubwa
- Njegere za kizungu
- Njegere sukari
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Njegere kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads