Nomino za pekee

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Nomino za pekee ni maneno yanayotaja majina mahususi ya watu, mahali au vitu ambavyo vina sifa ya pekee. Maneno hayo yanapoandikwa lazima yaanze na herufi kubwa mwanzoni.

Mifano
  • Dar es Salaam kuna msongamano wa magari sana.
  • Nairobi hakuna wakora wengi.
  • Oliver amesafiri kutafuta maziwa ya mbuzi.
  • Anna yupo shuleni kujifunza lishe bora.
  • Mlima Kilimanjaro una miti mingi ya matunda.
Maelezo zaidi Mifano ...
Remove ads

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nomino za pekee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads