Oda

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Oda ni ngazi katika uainishaji wa kisayansi wa viumbehai. Oda ya wanyama au mimea hujumlisha familia mbalimbali zilizo karibu.

Thumb
Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi.

Kwa mfano familia ya Felidae (wanyama wanaofana na paka) ni sehemu ya oda ya Carnivora yaani wanyama walanyama.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads