Oklahoma City Thunder
Timu ya Kimarekani ya mpira wa kikapu yenye makao yake Oklahoma City, Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Oklahoma City Thunder ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Oklahoma City, Oklahoma. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Chris Paul. Timu ilianzishwa mnamo mwaka wa 1967.

Remove ads
Viungo vya Nje
- Official website of the Thunder
- Oklahoma City Thunder Ilihifadhiwa 11 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine. @ Basketball-Reference.com
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Oklahoma City Thunder kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads