Orodha ya marais wa Nauru
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Orodha hii inataja marais wa nchi ya Nauru tangu uhuru wa nchi mwaka wa 1968.
Maelezo zaidi Jina (miaka ya maisha), Tarehe za urais ...
Jina (miaka ya maisha) | Tarehe za urais |
---|---|
1. Hammer DeRoburt (1922-1992) | 31 Januari 1968 hadi 22 Desemba 1976 |
2. Bernard Dowiyogo (1946-2003) | 22 Desemba 1976 hadi 19 Aprili 1978 |
3. Lagumot Harris (1938?-1999) | 19 Aprili 1978 hadi 15 Mei 1978 |
4. Hammer DeRoburt (mara ya pili) | 15 Mei 1978 hadi 17 Septemba 1986 |
5. Kennan Adeang (1942-) | 17 Septemba 1986 hadi 1 Oktoba 1986 |
6. Hammer DeRoburt (mara ya tatu) | 1 Oktoba 1986 hadi ?? Desemba 1986 |
7. Kennan Adeang (mara ya pili) | ?? Desemba 1986 hadi ?? Desemba 1986 |
8. Hammer DeRoburt (mara ya nne) | ?? Desemba 1986 hadi 17 Agosti 1989 |
9. Kenos Aroi (1942-) | 17 Agosti 1989 hadi 12 Desemba 1989 |
10. Bernard Dowiyogo (mara ya pili) | 12 Desemba 1989 hadi 22 Novemba 1995 |
11. Lagumot Harris (mara ya pili) | 22 Novemba 1995 hadi 11 Novemba 1996 |
12. Bernard Dowiyogo (mara ya tatu) | 11 Novemba 1996 hadi 26 Novemba 1996 |
13. Kennan Adeang (mara ya tatu) | 26 Novemba 1996 hadi 19 Desemba 1996 |
14. Ruben Kun (19??-) | 19 Desemba 1996 hadi 13 Februari 1997 |
15. Kinza Clodumar (1945-) | 13 Februari 1997 hadi 18 Juni 1998 |
16. Bernard Dowiyogo (mara ya nne) | 18 Juni 1998 hadi 27 Aprili 1999 |
17. René Harris (1948-2008) | 27 Aprili 1999 hadi 20 Aprili 2000 |
18. Bernard Dowiyogo (mara ya tano) | 20 Aprili 2000 hadi 30 Machi 2001 |
19. René Harris (mara ya pili) | 30 Machi 2001 hadi 9 Januari 2003 |
20. Bernard Dowiyogo (mara ya sita) | 9 Januari 2003 hadi 17 Januari 2003 |
21. René Harris (mara ya tatu) | 17 Januari 2003 hadi 18 Januari 2003 |
22. Bernard Dowiyogo (mara ya saba hadi kifo chake) | 18 Januari 2003 hadi 10 Machi 2003 |
23. Derog Gioura (1932-) | 10 Machi 2003 hadi 29 Mei 2003 (mtendaji hadi 20 Machi 2003) |
24. Ludwig Scotty (1948-) | 29 Mei 2003 hadi 8 Agosti 2003 |
25. René Harris (mara ya nne) | 8 Agosti 2003 hadi 22 Juni 2004 |
26. Ludwig Scotty (mara ya pili) | 22 Juni 2004 hadi 19 Desemba 2007 |
27. Marcus Stephen (1969-) | 19 Desemba 2007 hadi 11 Novemba 2011 |
28. Frederick Pitcher (1967-) | 11 Novemba 2011 hadi 15 Novemba 2011 |
29. Sprent Dabwido (1972-) | 15 Novemba 2011 - 11 Juni 2013 |
30. Baron Waqa (1959-) | 11 Juni 2013 - 24 Agustus 2019 |
31. David Adeang (1969-) | 24 Agustus 2019 - 27 Agustus 2019 |
32. Lionel Aingimea (1954-) | 27 Agustus 2019 |
Funga
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
Remove ads