Oviedo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Oviedo ni mji wa Hispania, mji mkuu wa mkoa wa Asturias.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 219,686 [1] na kuufanya wa ishirini wa tatu nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads