Pasta

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pasta
Remove ads
Remove ads

Pasta ni neno lenye asili ya Kiitalia kinachojumlisha chakula cha tambi kilichotengenzewa kwa kutumia unga wa nafaka (hasa ngano) na maji.

Thumb
Aina za pasta
Thumb
Aina za pasta

Aina ya pasta inayofahamika zaidi ni spaghetti. Lakini kuna aina nyingi za pasta.

Chanzo cha pasta hufanana kiasi na ugali yaani unga (wanga) unakorogwa na maji isipokuwa maji ni baridi. Kinyunga kinachotokea ni imara sana hukatwa kwa vipande vidogo venye maumbo mbalimbali na kupikwa kama vipande vya pekee. Kama pasta imekauka inatunzwa kwa muda mrefu hauozi na inapikwa haraka. Madukani inauzwa kama pasta kavu.

Kuna namna nyingi za kubadilisha kinyungo asilia kwa kuongeza mayai, mafuta, jibini na vingine ndani yake.

Utamu wa chakula cha pasta unakuja pamoja na mchuzi au supu zake.

Chanzo cha pasta iko katika Italia lakini zimeenea kote duniani. Ila tu hadi leo Italia ni nchi yenye aina nyingi za pasta hizi. Tambi za kufanana lakini kwa namna tofauti zinatoka katika Asia ya Mashariki.

Zinazojulikana kimataifa ni kwa mfano:

  • spaghetti (umbo la nondo au kijito)
  • makaroni (umbo la bomba)
  • lasagne (umbo la ukurasa bapa)
Remove ads

Viungo vya Nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pasta kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads