Patrick Cullinan
Mshairi wa Afrika Kusini From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Patrick Roland Cullinan (amezaliwa 25 Mei 1933 mjini Pretoria) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Alisoma Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza, akawa mkufunzi wa lugha ya Kiingereza mjini Cape Town. Hasa alitunga mashairi.
Remove ads
Vitabu vyake
- Today is not different (1978)
- White Hail in the Orchard (1984)
- Selected Poems (1994)
Angalia pia
Marejeo
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Patrick Cullinan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads