Paul Heyse

From Wikipedia, the free encyclopedia

Paul Heyse
Remove ads

Paul Johann Ludwig von Heyse (15 Machi 18302 Aprili 1914) alikuwa mwandishi hodari kutoka nchi ya Ujerumani. Anajulikana hasa kwa riwaya fupi zake mbalimbali. Mwaka wa 1910 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Heyse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Mchoro wa Adolf Friedrich Erdmann von Menzel
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads