Peter Jackson

From Wikipedia, the free encyclopedia

Peter Jackson
Remove ads

Peter Robert Jackson (amezaliwa 31 Oktoba 1961, mjini Pukerua Bay) ni mwongozaji filamu wa Kinyusiland. Anafahamika zaidi kwa kuongoza mfululizo wa filamu ya The Lord of the Rings.

Ukweli wa haraka Peter Jackson ...

Mnamo mwaka wa 2003, Jackson alishinda tuzo ya Academy kwa kuongoza filamu ya The Lord of the Rings: The Return of the King. Vilevile anafahamika kwa kuitengeneza upya filamu ya King Kong ya mwaka 2005. Jackson alizaliwa katika mji wa Pukerua Bay, New Zealand, na ni mtoto pekee wa mzee Bill na Joan Jackson, ambao wote walikuwa wahamiaji kutoka nchi ya Uingereza.

Remove ads

Filamu alizoongoza

  • Bad Taste (1987)
  • Meet the Feebles (1989)
  • Valley of the Stereos (1992) (filamu fupi)
  • Braindead (a.k.a. Dead Alive) (1992)
  • Heavenly Creatures (1994)
  • Forgotten Silver (1995) - mockumentari
  • The Frighteners (1996)
  • The Lord of the Rings: The Fellowship of the Ring (2001)
  • The Lord of the Rings: The Two Towers (2002)
  • The Lord of the Rings: The Return of the King (2003)
  • King Kong (2005)
  • The Lovely Bones (2007) (Ishatangazwa)
  • Halo (2008) - Mwandaaji mkuu (Ishatangazwa)
Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads