Peter Mitchell

From Wikipedia, the free encyclopedia

Peter Mitchell

Peter Dennis Mitchell (29 Septemba 192010 Aprili 1992) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza nishati ndani ya chembe hai. Mwaka wa 1978 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Mitchell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Peter Dennis Mitchell
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.