Poloni

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Poloni (kutoka kilatini Polonia kwa nchi ya Polandi) ni nusumetali au metaloidi nururifu yenye namba atomia 84 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 209.

Ukweli wa haraka Poloni (Polonium) ...

Poloni ni elementi nururifu sana na hatari kwa afya. Isotopi inayopatikana zaidi ni 210Po yenye nusumaisha ya siku 138 inayobungua kuwa metali ya risasi.

Kutokana na nusumaisha fupi ni elementi haba. Kiasili hupatikana kwa viwango vidogo sana katika mitapo ya Urani inapotokea kutokana na mbunguo wa radi na radoni. Siku hizi takriban gramu 100 zatengenezwa kila mwaka kwa kutupia neutroni kwa bismuti katika maabara hasa Urusi.

Poloni ilitambuliwa pamoja na Radi mara ya kwanza 1898 na mwanakemia Mpoland Marie Curie na mume wake Mfaransa Pierre.

Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Poloni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Poloni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads