Polykarp Kusch

From Wikipedia, the free encyclopedia

Polykarp Kusch
Remove ads

Polykarp Kusch (26 Januari 191120 Machi 1993) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa za kisumaku za elektroni. Mwaka wa 1955, pamoja na Willis Lamb alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Polykarp Kusch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Polykarp Kusch
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads