Posferi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Posferi
Remove ads

Posferi (pia: fosferi, posiforasi, fosforasi) ni elementi simetali yenye namba atomia 15 katika mfumo radidia na uzani atomia 30.973762 . Alama yake ni P. Jina latokana na kigiriki φως-φορος (foos-foros - "yenye nuru") kwa sababu posfori nyeupe hung'aa ikijibutika na oksijeni.


Ukweli wa haraka Posferi ...
Thumb
Posferi nyekundu kwenye kioo

Posferi inamenyuka haraka na elementi nyingine hivyo haitokei dunaini peke yake katika hali asilia bali katika kampaundi mbalimbali hasa katika miamba na madini. Kampaundi zake ziko hasa katika fosfati na mata hai. Matumizi yake ni katika aloi, viberiti na mbolea wa chumvichumvi.


Remove ads

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Posferi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads