Pune
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pune ni mji wa Uhindi katika jimbo la Maharashtra. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao milioni 3.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 560 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 1109.69 km².
Remove ads
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Tovuti Ilihifadhiwa 5 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Pune kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads