Q (gazeti)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Q ni jina la gazeti la muziki ambalo hutolewa kila mwezi huko nchini Uingereza. Hadi kufikia mwezi wa Juni katika mwaka wa 2007, gazeti limetoa nakala takriban 130,179.[1]
- Kwa matumizi mengine ya Q, tafadhali fungua Q (maana).
Gazeti hili lilianzishwa na Mark Ellen na David Hepworth ambao walichoshwa na vyombo vya habari za muziki vya wakati huo, ambapo walikuwa wakihisi kwamba vinadharau vizazi vile ambavyo vinanunua muziki wa CD wa zamani.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads