Queen (albamu)

albamu ya bendi Queen From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Queen ni albamu ya kwanza ya bendi Queen, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Julai katika mwaka wa 1973. Ilirekordiwa Trident Studios na De Lane Lea Music Centre huko London. Watayarishaji walikuwa John Anthony, Roy Thomas Baker na Queen.

Ukweli wa haraka Studio album ya, Imetolewa ...

Nyimbo tano ziliandikwa na Freddie Mercury, nyimbo nne ziliandikwa na Brian Mei, na wimbo mmoja uliandikwa na Roger Taylor. Wimbo "Doing All Right" uliandikwa na Brian Mei na Tim Staffel, memba wa bendi Smile.

Remove ads

Orodha ya nyimbo

  1. "Keep Yourself Alive" (Mei) – 3:48
  2. "Doing All Right" (Mei/Staffell) – 4:09
  3. "Great King Rat" (Mercury) – 5:41
  4. "My Fairy King" (Mercury) – 4:08
  5. "Liar" (Mercury) – 6:26
  6. "The Night Comes Down (Mei) – 4:23
  7. "Modern Times Rock 'n' Roll" (Taylor) – 1:48
  8. "Son and Daughter" (Mei) – 3:21
  9. "Jesus" (Mercury) – 3:44
  10. "Seven Seas of Rhye..." (Mercury) – 1:15
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Queen (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads