Rachel Weisz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rachel Hannah Weisz (amezaliwa tar. 7 Machi 1970) ni mshindi wa Tuzo ya Academy akiwa kama mwigizaji bora filamu wa kike kutoka nchini Uingereza. Amenza kujipatia umaarufu baada ya kucheza katika filamu za Hollywood-The Mummy na The Mummy Returns, na tangu hapo akawa anaendelea kushiriki katika sehemu kubwa-kubwa za filamu.
Remove ads
Viungo vya nje
- Rachel Weisz at the Internet Movie Database
- Rachel Weisz katika Yahoo! Movies
- Rachel Weisz katika Movies.com
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rachel Weisz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads

