Rasi Agulhas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rasi Agulhas (ing. Cape Agulhas) ni mahali pa kusini zaidi pa bara la Afrika. Iko karibu na mji wa Agulhas katika Afrika Kusini. Iko karibu pia na Rasi ya Tumaini Jema iliyo maarufu zaidi.

Ni mpaka kati ya maji za Atlantiki na Bahari Hindi na mstari unaoelekea kusini kutoka hapa umekubaliwa na Shirika la Kimataifa la Hidrografia kuwa mpaka kati ya bahari hizi mbili.
Remove ads
Viungo vya Nje
- Agulhas National Park Ilihifadhiwa 27 Januari 2011 kwenye Wayback Machine.
- Cape Agulhas
- Travel to Cape Agulhas
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads