Richard Feynman

From Wikipedia, the free encyclopedia

Richard Feynman
Remove ads

Richard Phillips Feynman (11 Mei 191815 Februari 1988) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Anaangaliwa kuwa mwanafizikia mashuhuri kabisa baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Hasa aliendeleza nadharia ya nuru, yaani nuru ielezwe kama yote mawili wimbi na chembe. Mwaka wa 1965, pamoja na Julian Schwinger na Shinichiro Tomonaga alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Feynman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Richard Feynman (1984)
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads