Rick Aviles
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rick Aviles (14 Oktoba 1952 – 17 Machi 1995) alikuwa mchekeshaji wa jukwaani na mwigizaji filamu kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anakumbukwa sana kwa kucheza kwake uhusika wa Willie Lopez kutoka katika filamu ya Ghost.
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Remove ads
Filamu
Remove ads
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads