Rize
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rize ni jina la kutaja mji mkuu wa Mkoa wa Rize huko nchini Uturuki. Mji upo mjini kaskazini-mashariki mwa pwani ya Bahari Nyeusi. Mji una wakazi takriban 78,144 wanaoishi mjini hapa. Mji upo 6 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Idadi ya wakazi kwa miaka
Marejeo
- Özhan Öztürk (2005). Encyclopedic Dictionary of Black Sea Ilihifadhiwa 13 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.. 2 Cilt. Heyamola Yayıncılık. İstanbul. ISBN 975-6121-00-9
Viungo vya Nje
- Travel Rize Ilihifadhiwa 11 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rize kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads