Robert De Niro

From Wikipedia, the free encyclopedia

Robert De Niro
Remove ads

Robert De Niro (amezaliwa tar. 17 Agosti 1943 mjini New York City) ni mwigizaji filamu kutoka nchini Marekani. Miongoni mwa filamu zake maarufu ni pamoja na Mean Streets (1973), The Godfather: Part II (1974), Taxi Driver (1976), The Deer Hunter (1978). Katika miaka ya karibuni, amepata kucheza katika filamu kama Casino (1995) na The Good Shepherd (2006).

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Remove ads

Filamu

Maelezo zaidi Mwaka, Filamu ...
Remove ads

Viungo vya Nje

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads