Rodi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rhodi (pia: Rodi - kutoka Kigiriki rhodeos, "nyekundu kama waridi" kwa sababu kampaundi zake mara nyingi huwa na rangi nyekundu) ni elementi na metali haba duniani. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Rh na namba atomia 45 katika mfumo radidia.
Remove ads
Tabia na matumizi
Rhodi ni metali ngumu yenye rangi nyeupe-kifedha. Haimenyuki kirahisi na asidi au hewa, hivyo hutafutwa kwa kuunda aloi inamoongeza ugumu na kuzuia kuoksidisha kwa aloi.
Kutokana na uhaba na faida zake ni metali ghali kabisa duniani inayouzwa na kununuliwa sokoni.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rodi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads