Rodney Porter

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rodney Porter
Remove ads

Rodney Robert Porter (8 Oktoba 19176 Septemba 1985) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mifumo ya kingamwili mbalimbali. Mwaka wa 1972, pamoja na Gerald Edelman alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rodney Porter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Mwanakemia Rodney Porter
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads