Roger Martin du Gard

From Wikipedia, the free encyclopedia

Roger Martin du Gard
Remove ads

Roger Martin du Gard (23 Machi 188122 Agosti 1958) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Anajulikana hasa kwa riwaya zake "Akina Thibault" (kwa Kifaransa Les Thibaults zilizotolewa miaka ya 1922-40). Mwaka wa 1937 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger Martin du Gard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Roger Martin du Gard
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads