Rutilio
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rutilio (alifariki 250) alikuwa Mkristo wa Afrika Kaskazini aliyetumia kila mbinu asikamatwe wakati wa dhuluma ya Decius, kaisari wa Dola la Roma, lakini hatimaye alikubali kuteswa na kuchomwa moto kwa imani yake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads