Sabini na moja
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sabini na moja ni namba inayoandikwa 71 kwa tarakimu za kawaida na LXXI kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 70 na kutangulia 72.
71 ni namba tasa.
Matumizi
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads