Sanaa Lathan

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sanaa Lathan
Remove ads

Sanaa McCoy Lathan (Amezaliwa tar. 19 Septemba 1971) ni mwigizaji mteule wa tuzo ya Tony (Tony Award) kama mwigizaji bora filamu wa kike Marekani.

Ukweli wa haraka Sanaa Lathan ...

Filamu alizoigiza Sanaa

MwakaJina la FilamuJina alilotumiaMaelezo mengine
2006Nip/TuckMichelle Landaurecurring role
2006Something NewKenya McQueen
2004Alien vs. PredatorAlexa Woods
2003Out of TimeAnn Merai Harrison
2002Brown SugarSidney 'Sid' Shaw
2000Disappearing ActsZora Banks
2000Love & BasketballMonica Wright
1999The Best Man Robin
1999The WoodAlicia
1998BladeVanessa Brooks

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sanaa Lathan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads