Sergio Corbucci

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sergio Corbucci
Remove ads

Sergio Corbucci (6 Desemba mwaka 1927 - 1 Desemba mwaka 1990) alikuwa mwongozaji wa filamu wa kitaliano. Filamu zake nyingi zilikuwa na watu mafedhuri, kisha bado ni filamu zenye maarifa ya juu. Sergio alifahamika zaidi katika filamu za western ya Italia, maarufu kama spaghetti westerns.

Ukweli wa haraka Sergio Corbucci ...
Remove ads

Filamu zilizoongozwa na Sergio Corbucci

  • Minnesota Clay (1965)
  • Django (1966)
  • Ringo and his Golden Pistol (1966)
  • Navajo Joe (1966)
  • The Hellbenders (1967)
  • The Mercenary (Mtaalam wa bunduki) (1968)
  • The Great Silence (1969)
  • Companeros (1970)
  • Di che segno sei? (1975)
  • The Con Artists (1976)
  • Il signor Robinson (1975)
  • Trinity: Gambling for High Stakes (1978)
  • Super Fuzz (1980)
  • A Friend Is a Treasure (1981)

Ona pia

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sergio Corbucci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads