Sezen Aksu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sezen Aksu
Remove ads

Sezen Aksu (amezaliwa kama Fatma Sezen Yıldırım; Denizli, 13 Julai 1954) ni mwimbaji wa muziki wa pop, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi za muziki kutoka nchi Uturuki. Ni maarufu sana nchini humo na nje ya nchi ya Uturuki. Aksu amepata kuuza nakala za albamu zake zaidi ya milioni 40. Aksu pia humwita "Malkia wa Pop wa Uturuki".

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...

Aksu pia huwa anatoa msaada kwa wasanii wengine wa muziki kwa kutunga nyimbo pamoja na kisha kuziimba pamoja nao. Alishawahi kufanya kazi na mwimbaji mwingine wa Kituruki Bw. Tarkan.

Remove ads

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads