Shukuru Kilala

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Shukuru Amdani Mtina Kilala (22 Februari 198429 Mei 2019) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina la Dj wa Masanja, kutoka katika filamu ya vichekesho ya Masanja.

Kilala aliwahi kucheza filamu kadhaa, miongoni mwa filamu hizo ni kama ifuatavyo: Itumanyama, Kimela na Julia.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shukuru Kilala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads